Sunday, September 24, 2017

NAFASI YA KAZI - MUHUDUMU WA OFISIMUHUDUMU WA OFISI: NAFASI 1

MAJUKUMU YA KAZI
Ø  Kupokea na kkaribisha wageni
Ø  Kufanya usafi nje na ndani ya ofisi.
Ø  Kutunza kumbukumbu za ofisi
Ø  Kufananya shughuli za katibu mahususi
Ø  Kuandaa ripoti na kuwasilisha kwa msimamizi wa ofisi
Ø  Kufanya shughuli nyingine atakazopangiwa na ofisi


SIFA ZA MWOMBAJI
*      Awe amehitimu kidato cha nne na kuendelea.
*      Awe na ujuzi wa kutumia Kompyuta Word, Exel, Publisher na programu nyingine
*      Awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza Kiswahili na kiingereza
*      Awe na uwezo mkubwa wa kujieleza, kushawishi na kujiamini.
*      Awe ni msichana mwenye umri asiyozidi miaka 25.
*      Awe na moyo wa kujitolea na kutekeleza majukumu aliyopangiwa.

JINSI YA KUOMBA
Maombi ya nafasi hiyo lazima yaambatane na:-
*      Barua ya maombi inayoelezea hali halisi ya shughuli yako.
*      Maelezo ya kutosha kuhusu Wasifu wako yaani (CV) inayoonyesha Anwani yako, Email yako, namba ya simu na wadhamini wawili (2) ambao wanakufahamu vizuri ukiambatanisha na mawasiliano yao.
*      Mwombaji aambatanishe picha moja ya rangi na nakala za vyeti vya shule pamoja na chuo kinachotambulika na Serikali.


BARUA ZOTE ZIANDIKWE KWA:

MKURUGENZI MTENDAJI
HUHESO FOUNDATION
P.O.BOX 619,
KAHAMA-SHINYANGA

PELEKA BARUA KWENYE OFISI YETU INAYOPATIKANA KAHAMA MJINI, KATA YA MALUNGA MTAA WA IGEMBENSABO. MWISHO WA MAOMBI KWA NAFASI HII NI TAREHE 01/10/2017

No comments:

Post a Comment